Ee BWANA, unihukumu mimi,Maana nimekwenda kwa ukamilifu wangu,Nami nimemtumaini BWANA bila wasiwasi.