Inueni vichwa vyenu, enyi malango,Naam, viinueni, enyi malango ya milele,Mfalme wa utukufu apate kuingia.