Inueni vichwa vyenu, enyi malango,Inukeni, enyi malango ya milele,Mfalme wa utukufu apate kuingia.