Utawafanya kuwa kama tanuru ya moto,Wakati wa ghadhabu yako.BWANA atawameza kwa ghadhabu yake,Na moto utawala.