BWANA ni jabali langu, na boma langu, na mwokozi wangu,Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia,Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu.