Ndipo ilipoonekana mikondo ya maji,Misingi ya ulimwengu ikafichuliwa,Ee BWANA, kwa kukemea kwako,Kwa mvumo wa pumzi ya puani mwako.