Zab. 17:14 Swahili Union Version (SUV)

Ee BWANA, kwa mkono wako uniokoe na watu,Watu wa dunia hii ambao fungu lao li katika maisha haya.Matumbo yao wayajaza kwa hazina yako,Hushiba wana, huwaachia watoto wao akiba zao,

Zab. 17

Zab. 17:8-14