Kwa hiyo moyo wangu unafurahi,Nao utukufu wangu unashangilia,Naam, mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini.