Zab. 16:1-3 Swahili Union Version (SUV) Mungu, unihifadhi mimi,Kwa maana nakukimbilia Wewe. Nimemwambia BWANA, Ndiwe BWANA wangu;Sina wema ila utokao