Zab. 148:12-13 Swahili Union Version (SUV)

12. Vijana waume, na wanawali,Wazee, na watoto;

13. Na walisifu jina la BWANA,Maana jina lake peke yake limetukuka;Adhama yake i juu ya nchi na mbingu.

Zab. 148