Zab. 146:1-3 Swahili Union Version (SUV) Haleluya.Ee nafsi yangu, umsifu BWANA. Nitamsifu BWANA muda ninaoishi,Nitamwimbia Mungu wangu ningali ni hai.