Ng’ombe zetu na wachukue mizigo,Kusiwe na kushambuliwa.Wala kusiwe na kuhamishwa,Wala malalamiko katika njia zetu.