Uniponye, unitoe,Katika mkono wa wageni.Vinywa vyao vyasema visivyofaa,Na mkono wao wa kuume ni mkono wa uongo.