Utazame mkono wa kuume ukaone,Kwa maana sina mtu anijuaye.Makimbilio yamenipotea,Hakuna wa kunitunza roho.