Usiuelekeze moyo wangu kunako jambo baya,Nisiyazoelee matendo yasiyofaa,Pamoja na watu watendao maovu;Wala nisile vyakula vyao vya anasa.