7. Ee MUNGU Bwana, nguvu za wokovu wangu,Umenifunika kichwa changu siku ya vita.
8. Ee BWANA, usimpe asiye haki tamaa zake,Usiifanikishe hila yake, wasije wakajiinua.
9. Nao wainuapo vichwa watu wanaonizunguka,Madhara ya midomo yao yawafunike.
10. Makaa ya moto yawaangukie, watupwe motoni,Na katika mashimo, wasipate kusimama tena.