Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu;Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo,Hakuna atendaye mema.