Zab. 128:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Heri kila mtu amchaye BWANA,Aendaye katika njia yake.

2. Taabu ya mikono yako hakika utaila;Utakuwa heri, na kwako kwema.

3. Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao,Vyumbani mwa nyumba yako.Wanao kama miche ya mizeituniWakiizunguka meza yako.

Zab. 128