Zab. 119:84-86 Swahili Union Version (SUV)

84. Siku za mtumishi wako ni ngapi,Lini utakapowahukumu wale wanaonifuatia?

85. Wenye kiburi wamenichimbia mashimo,Ambao hawaifuati sheria yako.

86. Maagizo yako yote ni amini,Wananifuatia bure, unisaidie.

Zab. 119