Zab. 119:1-4 Swahili Union Version (SUV) Heri walio kamili njia zao,Waendao katika sheria ya BWANA. Heri wazitiio shuhuda zake,Wamtafutao kwa moyo wote.