Zab. 115:15-17 Swahili Union Version (SUV) Na mbarikiwe ninyi na BWANA,Aliyezifanya mbingu na nchi. Mbingu ni mbingu za BWANA,Bali nchi amewapa wanadamu.