Zab. 115:1-2 Swahili Union Version (SUV) Ee BWANA, kutukuza usitutukuze sisi,Bali ulitukuze jina lako,Kwa ajili ya fadhili zako,Kwa ajili ya uaminifu wako.