Amewapelekea watu wake ukombozi,Ameamuru agano lake liwe la milele,Jina lake ni takatifu la kuogopwa.