Maana, tazama, wasio haki wanaupinda uta,Wanaitia mishale yao katika upote,Ili kuwapiga gizani wanyofu wa moyo.