Zab. 109:26-29 Swahili Union Version (SUV)

26. Ee BWANA, Mungu wangu, unisaidie,Uniokoe sawasawa na fadhili zako.

27. Nao wakajue ya kuwa ndio mkono wako;Wewe, BWANA, umeyafanya hayo.

28. Wao walaani, bali Wewe utabariki,Wameondoka wao wakaaibishwa,Bali mtumishi wako atafurahi.

29. Washitaki wangu watavikwa fedheha,Watajivika aibu yao kama joho.

Zab. 109