Alijivika laana kana kwamba ni vazi lake.Ikamwingilia moyoni kama maji,Na kama mafuta mifupani mwake.