Ili niuone wema wa wateule wako.Nipate kuifurahia furaha ya taifa lako,Na kujisifu pamoja na watu wako.