Ee BWANA, jinsi yalivyo mengi matendo yako!Kwa hekima umevifanya vyote pia.Dunia imejaa mali zako.