Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA.Wewe, BWANA, Mungu wangu,Umejifanya mkuu sana;Umejivika heshima na adhama.