Mhimidini BWANA, enyi malaika zake,Ninyi mlio hodari, mtendao neno lake,Mkiisikiliza sauti ya neno lake.