Hizi zitaharibika, bali Wewe utadumuNaam, hizi zitachakaa kama nguo;Na kama mavazi utazibadilisha,Nazo zitabadilika.