Nitasema, Ee Mungu wangu, usiniondoe katikati ya siku zangu;Miaka yako ni tangu kizazi hata kizazi.