Wewe mwenyewe utasimama,Na kuirehemu Sayuni,Kwa maana ndio wakati wa kuihurumia,Naam, majira yaliyoamriwa yamewadia.