Huotea faraghani kama simba pangoni,Huotea amkamate mtu mnyonge.Naam, humkamata mtu mnyonge,Akimkokota wavuni mwake.