Umeona, maana unaangalia madhara na jeuri,Uyatwae mkononi mwako.Mtu duni hukuachia nafsi yake,Maana umekuwa msaidizi wa yatima.