Naye atakuwa kama mti uliopandwaKandokando ya vijito vya maji,Uzaao matunda yake kwa majira yake,Wala jani lake halinyauki;Na kila alitendalo litafanikiwa.