Yos. 6:9 Swahili Union Version (SUV)

Wale watu wenye silaha walikwenda mbele ya hao makuhani waliozipiga tarumbeta, na wale waliokuwa nyuma wakalifuata hilo sanduku; makuhani wakizipiga tarumbeta walipokuwa wakienda.

Yos. 6

Yos. 6:5-13