Yos. 18:26-28 Swahili Union Version (SUV)

26. na Mispa, na Kefira, na Moza;

27. na Rekemu, na Irpeeli, na Tarala;

28. na Zela, na Elefu, na huyo Myebusi (ndio Yerusalemu), na Gibeathi, na Kiriathi; miji kumi na minne, pamoja na vijiji vyake. Huo ndio urithi wa wana wa Benyamini kwa kuandama jamaa zao.

Yos. 18