Yos. 15:24-30 Swahili Union Version (SUV)

24. na Zifu, na Telemu, na Bealothi;

25. na Hazor-hadata, na Kerioth-hezroni (ndio Hazori);

26. na Amamu, na Shema, na Molada;

27. na Hasar-gada, na Heshmoni, na Bethpeleti;

28. na Hasarshuali, na Beer-sheba, na Biziothia;

29. na Baala, na Iyimu, na Esemu;

30. na Eltoladi, na Kesili, na Horma;

Yos. 15