Yos. 13:8 Swahili Union Version (SUV)

Pamoja na yeye, Wareubeni na Wagadi walipata urithi wao, waliopewa na Musa, huko ng’ambo ya Yordani upande wa mashariki, vile vile kama huyo Musa mtumishi wa BWANA alivyowapa;

Yos. 13

Yos. 13:3-11