Yos. 13:32-33 Swahili Union Version (SUV)

32. Hizi ndizo mirathi ambazo Musa alizigawanya katika nchi tambarare za Moabu, ng’ambo ya pili ya Yordani, kukabili Yeriko, upande wa mashariki.

33. Lakini Musa hakuwapa kabila ya Lawi urithi uwao wote; yeye BWANA, Mungu wa Israeli, ndiye urithi wao, kama alivyowaambia.

Yos. 13