Yos. 13:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Basi Yoshua alipokuwa mzee, na kwendelea sana miaka yake, BWANA akamwambia, Wewe umekuwa mzee na kwendelea sana miaka yako, kisha inasalia nchi nyingi sana bado kumilikiwa.

2. Nchi iliyosalia ni hii; nchi zote za Wafilisti, na Wageshuri wote;

Yos. 13