Yoe. 2:17 Swahili Union Version (SUV)

Hao makuhani, wahudumu wa BWANA, na walieKati ya patakatifu na madhabahu,Na waseme, Uwaachilie watu wako, Ee BWANA,Wala usiutoe urithi wako upate aibu,Hata mataifa watawale juu yao;Kwani waseme kati ya watu, Yuko wapi Mungu wao?

Yoe. 2

Yoe. 2:12-22