Pigeni tarumbeta katika Sayuni,Pigeni na kelele katika mlima wangu mtakatifu;Wenyeji wote wa nchi na watetemeke;Kwa maana siku ya BWANA inakuja.Kwa sababu inakaribia;