Yoe. 1:6 Swahili Union Version (SUV)

Maana taifa limepanda juu ya nchi yangu,Lenye nguvu, tena halina hesabu;Meno yake ni kama meno ya simba,Naye ana magego ya simba mkubwa.

Yoe. 1

Yoe. 1:1-11