Yn. 7:46-50 Swahili Union Version (SUV)

46. Wale watumishi wakajibu. Hajanena kamwe mtu ye yote kama huyu anavyonena.

47. Basi Mafarisayo wakawajibu, Je! Ninyi nanyi mmedanganyika?

48. Ni nani katika wakuu amwaminiye, au katika Mafarisayo?

49. Lakini makutano hawa wasioifahamu torati wamelaaniwa.

50. Akawaambia Nikodemo, (naye ni yule aliyemwendea zamani, maana ni mmoja wao),

Yn. 7