40. Wala hamtaki kuja kwangu mpate kuwa na uzima.
41. Mimi siupokei utukufu kwa wanadamu.
42. Walakini nimewajua ninyi ya kuwa hamna upendo wa Mungu ndani yenu.
43. Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu, wala ninyi hamnipokei; mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea huyo.