Yn. 19:24 Swahili Union Version (SUV)

Basi wakaambiana, Tusiipasue, lakini tuipigie kura, iwe ya nani. Ili litimie andiko lile linenalo,Waligawanya nguo zangu,Na vazi langu wakalipigia kura.Basi ndivyo walivyofanya wale askari.

Yn. 19

Yn. 19:22-27