Yn. 12:36 Swahili Union Version (SUV)

Maadamu mnayo nuru, iaminini nuru hiyo, ili mpate kuwa wana wa nuru.Hayo aliyasema Yesu, akaenda zake, akajificha wasimwone.

Yn. 12

Yn. 12:34-38