Nami nitafanya Yerusalemu kuwa magofu,Makao ya mbweha;Nami nitaifanya miji ya Yuda kuwa ukiwa,Isikaliwe na mtu awaye yote.